Ufafanuzi wa henzirani katika Kiswahili

henzirani, hinzirani

nominoPlural henzirani

  • 1

    ufito unaotokana na mhenzirani.

    fimbo

  • 2

    fimbo nyembamba inayotengenezwa kwa mhenzirani.

    kiboko

Asili

Kar

Matamshi

henzirani

/hɛnzirani/