nominoPlural heri
- 1
hali ya amani.
- 2‘Mtu wa heri’‘Heri na baraka au fanaka’‘Jaaliwa heri’‘Kwaheri’neema, baraka, ustawi, fanaka
kielezi
- 1‘Ni heri umsikilize anayokwambia’methali ‘Heri kufa kuliko kufariki’methali ‘Heri ya mrama kuliko ya kuzama’methali ‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’
Asili
Kar