Ufafanuzi wa heroini katika Kiswahili

heroini

nominoPlural heroini

  • 1

    dawa za kulevya ambazo hutumiwa kwa kuchomwa sindano mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

heroini

/hɛrɔini/