Ufafanuzi msingi wa hesabu katika Kiswahili

: hesabu1hesabu2hesabu3hesabu4

hesabu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tafuta idadi ya watu au vitu; fanya jumla.

  wanga, anga, adidi

 • 2

  taja tarakimu mojamoja.

Ufafanuzi msingi wa hesabu katika Kiswahili

: hesabu1hesabu2hesabu3hesabu4

hesabu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  weka maanani.

  ‘Wanamhesabu kuwa ni mjinga’
  chukulia, dhani, waza, fikiria

Ufafanuzi msingi wa hesabu katika Kiswahili

: hesabu1hesabu2hesabu3hesabu4

hesabu3

nominoPlural hesabu

 • 1

 • 2

  maelezo ya mapato na matumizi ya fedha.

  ‘Hesabu ya mwaka’
  ‘Kitabu cha hesabu’

 • 3

  swali

 • 4

  ‘Hesabu ya watu idadi ya watu wote nchini’
  idadi

Ufafanuzi msingi wa hesabu katika Kiswahili

: hesabu1hesabu2hesabu3hesabu4

hesabu4

nominoPlural hesabu

Kidini
 • 1

  Kidini
  malipo kutokana na mema na mabaya aliyofanya mtu duniani kabla ya kusailiwa siku ya kiyama.

  methali ‘Malipo leo, kesho hesabu’
  methali ‘Malipo ni duniani, ahera kunakwenda hesabu’

Asili

Kar

Matamshi

hesabu

/hɛsabu/