Ufafanuzi wa heshimu katika Kiswahili

heshimu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    wekea adabu; fanyia heshima.

    thamini, stahi, jali, kongowea

  • 2

    weka katika daraja la juu.

    tukuza, sharifu

Asili

Kar

Matamshi

heshimu

/hɛ∫imu/