Ufafanuzi wa hewaa! katika Kiswahili

hewaa!, ewaa!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumiwa kwa maana ya kukubali au kuafiki jambo.

    sadakta!

Matamshi

hewaa!

/hɛwa:/