Ufafanuzi wa hifadhi ya mazingira katika Kiswahili

hifadhi ya mazingira

  • 1

    utunzaji wa mazingira kwa kulinda misitu, vyanzo vya maji, ardhi, n.k. visiharibiwe.