Ufafanuzi wa hiji katika Kiswahili

hiji

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
  • 1

    Kidini
    fanya ibada ya hija huko Makka.

Asili

Kar

Matamshi

hiji

/hiʄi/