Ufafanuzi wa himaya katika Kiswahili

himaya

nominoPlural himaya

  • 1

    ulinzi au mamlaka ya utawala fulani.

    ‘Kuwa chini ya himaya’

Asili

Kar

Matamshi

himaya

/himaja/