Ufafanuzi msingi wa himidi katika Kiswahili

: himidi1himidi2

himidi1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    shukuru, sifu au tukuza Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

himidi

/himidi/

Ufafanuzi msingi wa himidi katika Kiswahili

: himidi1himidi2

himidi2 , himdi

nominoPlural himidi

Kidini
  • 1

    Kidini
    sifa na utukufu wa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

himidi

/himidi/