Ufafanuzi wa himili katika Kiswahili

himili

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kuwa mjamzito.

  • 2

    chukua au beba yaliyo mazito.

    stahimili, jikaza, vumilia

Asili

Kar

Matamshi

himili

/himili/