Ufafanuzi wa himiza katika Kiswahili

himiza

kitenzi elekezi

  • 1

    tia moyo mtu afanye jambo upesi.

    ‘Himiza watu kazi’
    harakisha

Matamshi

himiza

/himiza/