Ufafanuzi wa himoglobini katika Kiswahili

himoglobini

nominoPlural himoglobini

  • 1

    chembechembe nyekundu za protini zilizo na madini ya chuma zinazosafirisha oksijeni katika damu ya wanyama na binadamu.

Asili

Kng

Matamshi

himoglobini

/himɔglɔbini/