Ufafanuzi wa hina katika Kiswahili

hina

nominoPlural hina

  • 1

    majani ya mhina yanayopondwa na kutumiwa na wanawake kupaka miguuni, mikononi na katika nywele kama pambo.

    ‘Paka hina’
    ‘Tia hina’

Asili

Kar

Matamshi

hina

/hina/

nominoPlural hina

  • 1

    rangi nyekundu ya majani ya mhina yaliyopondwa.

Matamshi

hina

/hina/