Ufafanuzi wa hini katika Kiswahili

hini

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kataa kutoa kitu.

    nyima

Asili

Kar

Matamshi

hini

/hini/