Ufafanuzi wa hiroglifu katika Kiswahili

hiroglifu, hieroglifu

nominoPlural hiroglifu

  • 1

    picha au alama ya kitu inayowakilisha neno, sauti au silabi iliyotumiwa katika maandishi ya kale k.v. ya Wamisri, n.k..

  • 2

    alama ya siri isiyoeleweka.

Asili

Kng

Matamshi

hiroglifu

/hirɔglifu/