Ufafanuzi wa hisa katika Kiswahili

hisa

nominoPlural hisa

 • 1

  fungu linalotolewa kama sehemu ya mtaji katika biashara.

  kiwango

 • 2

  fungu au sehemu ya kitu kizima.

  fungu

 • 3

  nambari inayopatikana kwa kugawanya nambari moja kwa nyingine katika somo la hesabu.

 • 4

  ni hisa ya 8 ÷ 2.

Asili

Kar

Matamshi

hisa

/hisa/