Ufafanuzi wa hitaji katika Kiswahili

hitaji

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na haja ya kitu fulani.

    ‘Hitaji msaada wa fedha’
    taka

Asili

Kar

Matamshi

hitaji

/hitaŹ„i/