Ufafanuzi wa hitilafiana katika Kiswahili

hitilafiana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na tofauti; kuwa mbalimbali; kutolingana.

    tofautiana, pishana, kwaruzana

  • 2

    kosa kusikilizana.

    farakana

Asili

Kar

Matamshi

hitilafiana

/hitilafijana/