Ufafanuzi wa hitimu katika Kiswahili

hitimu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  maliza masomo fulani na kufaulu mtihani.

  ‘Amehitimu mafunzo ya udaktari’

 • 2

  fikia mwisho.

  ‘Hitimu isha matanga’

 • 3

  Kidini
  maliza kusoma Kurani nzima baada ya kusomeshwa chuoni.

Asili

Kar

Matamshi

hitimu

/hitimu/