Ufafanuzi wa hizaya katika Kiswahili

hizaya

nominoPlural hizaya

  • 1

    ukosefu wa radhi za Mungu au wazazi.

    ‘Mwana hizaya’
    laana, apizo, chira

  • 2

    aibu, fedheha, junaa, soni, haya, izara, tua

Asili

Kar

Matamshi

hizaya

/hizaja/