Ufafanuzi wa hobelahobela katika Kiswahili

hobelahobela

kielezi

 • 1

  bila ya mpango au taratibu.

  ovyoovyo, hangahanga

 • 2

  juujuu.

 • 3

  kwa kushika huku na huku.

Asili

Kar

Matamshi

hobelahobela

/hɔbɛlahɔbɛla/