Ufafanuzi wa hodi! katika Kiswahili

hodi!

nominoPlural hodi!

  • 1

    neno la kubishia mlango.

  • 2

    uombaji ruhusa ya kuingia k.v. ndani ya nyumba.

Matamshi

hodi!

/hɔdi/