Ufafanuzi wa hodiya katika Kiswahili

hodiya

nominoPlural hodiya

  • 1

    wimbo unaofuata mpigo maalumu wakati wa kufanya kazi ngumu kwa pamoja ili kutia moyo watu wafanye kazi vizuri.

Matamshi

hodiya

/hɔdija/