Ufafanuzi wa hofu katika Kiswahili

hofu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shindwa kukabili jambo linalohitaji vikumbo; kuwa na woga.

    ogopa, chelea

Asili

Kar

Matamshi

hofu

/hɔfu/