Ufafanuzi wa homografu katika Kiswahili

homografu

nominoPlural homografu

  • 1

    neno lenye tahajia sawa na lingine lakini maana au matamshi tofauti.

Asili

Kng

Matamshi

homografu

/hɔmɔgrafu/