Ufafanuzi wa homu katika Kiswahili

homu

nominoPlural homu

  • 1

    upepo unaovuma bila ya kubadilikabadilika.

Matamshi

homu

/hɔmu/