Ufafanuzi wa hongera katika Kiswahili

hongera

nominoPlural hongera

  • 1

    pongezi anazopewa mtu kwa mafanikio aliyoyapata.

Matamshi

hongera

/hɔngɛra/