Ufafanuzi wa hongwe katika Kiswahili

hongwe

nominoPlural hongwe

  • 1

    samaki mwenye masharubu kama kambare.

    fumi

Matamshi

hongwe

/hɔngwɛ/