Ufafanuzi wa horera katika Kiswahili

horera, holela

kielezi

  • 1

    bila ya malipo.

    bure

  • 2

    bila ya mipango.

    ovyoovyo

Matamshi

horera

/hɔrɛra/