Ufafanuzi wa Hostia katika Kiswahili

Hostia

nominoPlural Hostia

Kidini
  • 1

    Kidini
    mkate unaotolewa katika ibada ya misa kama ukumbusho wa karamu ya mwisho ya Yesu Kristo kwa wafuasi wake.

Asili

Kng

Matamshi

Hostia

/hɔstija/