Ufafanuzi wa hoteli katika Kiswahili

hoteli

nominoPlural hoteli

  • 1

    jengo maalumu mnamouzwa vyakula na vinywaji.

    mkahawa

  • 2

    jengo maalumu lenye vyumba vya kupangishia wageni ambamo agh. vyakula na vinywaji huuzwa.

Asili

Kng

Matamshi

hoteli

/hɔtɛli/