Ufafanuzi wa hoto katika Kiswahili

hoto

nominoPlural hoto

  • 1

    dawa ya kumfanya mwanamke ashike mimba.

Matamshi

hoto

/hɔtɔ/