Ufafanuzi wa hotuba katika Kiswahili

hotuba, hutuba

nominoPlural hotuba

  • 1

    maelezo maalumu yanayotolewa na mtu mmoja mbele za watu.

Asili

Kar

Matamshi

hotuba

/hɔtuba/