Ufafanuzi wa hua katika Kiswahili

hua

nominoPlural hua

  • 1

    ndege anayefanana na ninga lakini mdogo kidogo, ana rangi ya kijivu iliyochanganyika na buluu na madoa meupe shingoni.

    njiwa

Matamshi

hua

/huwa/