Ufafanuzi wa hubiri katika Kiswahili

hubiri

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    toa maelezo, hasa ya mambo ya dini, mbele za watu.

    waidhi

  • 2

    toa habari.

    hutubu, simulia

Asili

Kar

Matamshi

hubiri

/hubiri/