Ufafanuzi wa huduma katika Kiswahili

huduma

nominoPlural huduma

  • 1

    shughuli inayofanywa kwa manufaa ya mtu mwingine.

    msaada

  • 2

    mambo mbalimbali ambayo mtu anayahitaji katika maisha yake k.v. usafiri, hospitali, maji au posta.

Asili

Kar

Matamshi

huduma

/huduma/