Ufafanuzi wa hudumia katika Kiswahili

hudumia

kitenzi elekezi

  • 1

    toa msaada kwa mtu anayehitaji.

    angalia

Asili

Kar

Matamshi

hudumia

/hudumija/