Ufafanuzi wa hudumu katika Kiswahili

hudumu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa huduma au msaada.

    tumikia

Asili

Kar

Matamshi

hudumu

/hudumu/