Ufafanuzi wa husiana katika Kiswahili

husiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na uhusiano wa kidugu au kirafiki.

Asili

Kar

Matamshi

husiana

/husijana/