Ufafanuzi wa husisha katika Kiswahili

husisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa na uhusiano.

    ‘Wamekuhusisha na mgomo wa wanafunzi’
    fungamanisha

Asili

Kar

Matamshi

husisha

/husi∫a/