Ufafanuzi msingi wa husudu katika Kiswahili

: husudu1husudu2

husudu1

kitenzi elekezi

  • 1

    onea kijicho.

Asili

Kar

Matamshi

husudu

/husudu/

Ufafanuzi msingi wa husudu katika Kiswahili

: husudu1husudu2

husudu2

kitenzi elekezi

  • 1

    penda mno.

Asili

Kar

Matamshi

husudu

/husudu/