Ufafanuzi wa husuma katika Kiswahili

husuma

nominoPlural husuma

  • 1

    hali ya kutokuwa na maafikiano mazuri.

    ugomvi, vita, shonde, uhasama

Asili

Kar

Matamshi

husuma

/husuma/