Ufafanuzi wa husuru katika Kiswahili

husuru

kitenzi elekezi

  • 1

    zingira mji kwa vita.

    zunguka, zingira

Asili

Kar

Matamshi

husuru

/husuru/