Ufafanuzi wa hutubu katika Kiswahili

hutubu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  toa hotuba.

  hubiri

 • 2

  Kidini
  soma hotuba msikitini au kanisani; toa mawaidha; toa nasaha za kidini.

  hubiri

Asili

Kar

Matamshi

hutubu

/hutubu/