Ufafanuzi wa huyo katika Kiswahili

huyo

kiwakilishi

  • 1

    neno linalotaja mtu, mnyama au mdudu aliye mbali kidogo na msikilizaji.

    ‘Mbuzi huyo’

Matamshi

huyo

/hujɔ/