Ufafanuzi wa ibana katika Kiswahili

ibana

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    fanya mapenzi ya siri kati ya mke au mume wa mtu na mtu mwingine.

Matamshi

ibana

/Ibana/