Ufafanuzi wa ibara katika Kiswahili

ibara

nomino

  • 1

    kifungu cha maneno au habari iliyokamilika.

Asili

Kar

Matamshi

ibara

/Ibara/