Ufafanuzi wa ibua katika Kiswahili

ibua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    toa kwa ghafla kilicho majini ili kionekane.

  • 2

    zua neno au jambo.

Matamshi

ibua

/Ibuwa/