Ufafanuzi wa ibuka katika Kiswahili

ibuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toka kwa ghafla kutoka majini.

  • 2

    tokea bila kutarajiwa.

Matamshi

ibuka

/Ibuka/